Waziri Mkuu usafirishaji chakula nje ya nchi.
Waziri Mkuu mh Kassim Majaliwa,amepiga marufuku usafirishaji wa chakula nje ya nchi,hii ni kutokana na baadhi ya maeneo kutokupata chakula ...

http://cmasele.blogspot.com/2017/06/waziri-mkuu-usafirishaji-chakula-nje-ya.html
Waziri Mkuu mh Kassim Majaliwa,amepiga marufuku usafirishaji wa chakula nje ya nchi,hii ni kutokana na baadhi ya maeneo kutokupata chakula cha kutosha kutokana kuwa Na uhaba wa mvua.
Mh waziri Mkuu ameonya kuwa yoyote atakakiuka agizo hill achukuliwe hatua Kali ikiwa no pamoja na kutaifisha chakula husika Na combo kilichohusika katika usafirishaji huo.
Vilevile mh waziri Mkuu amesema wale wrote wanaohusika Na mauaji katika mkoa wa pwani watapatikana wote , ametaka chekecho lifanyike ili kutokuwabana wasiohusika.