Mahakama, leo kuapisha mawakili wapya
Leo MaHakama nchini inataraji kuongeza idadi ya mawakili, ambapo jaji mkuu anatarajiwa kuapisha mawakili watakao Huduma sehemu mbalimbali ka...

http://cmasele.blogspot.com/2017/06/mahakama-leo-kuapisha-mawakili-wapya.html
Leo MaHakama nchini inataraji kuongeza idadi ya mawakili, ambapo jaji mkuu anatarajiwa kuapisha mawakili watakao Huduma sehemu mbalimbali katika Tania hiyo ya sheria.
Toka asubuhi na mapema hivi leo kumekuwa na pilikapilika nyingi za mawakili watarajiwa wakiwa na ndugu zao pamoja rafiki zao, vilevile biashara ya mapambo haikubaki nyuma kwani wafanyabiashaira ya bidhaa hizo wamekuwepo toka mapema ya leo katika viwanja vya MaHakama Na kuzunguka Marne hayo kama wanavyoonekana katika picha.