News
Habari ambazo bazo hazijathibitishwa,inaelezwa kuwa kuna ajari mbaya imetokea katika eneo la kata ya Rhotia, katika wilaya ya Karatu,mkoa wa...

http://cmasele.blogspot.com/2017/05/news_6.html
Habari ambazo bazo hazijathibitishwa,inaelezwa kuwa kuna ajari mbaya imetokea katika eneo la kata ya Rhotia, katika wilaya ya Karatu,mkoa wa Manyala, ambapo basi lililokuwa limebeba wanafunzi wa shule ya St Lucky ya mkoani Arusha limepata ajari na kusababisha vifo vya wanafunzi wengi pamoja na walimu wao.
Taarifa hizo zinaeleza kwamba zaidi ya wanafunzi zaidi ya 20 pamoja na walimu wao wamefariki, inaelezwa kuwa wanafunzi wa shule hiyo walikuwa wakienda kufanya mtihani wa kujipima uwezo pamoja na wanafunzi wenzao wa shule ya Tumaini English medium iliyopo katika wilaya ya Karatu mkoano Manyala.