Pin It

News

Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini ,zimeendelea kusababisha neema na adha kwa baadhi ya maeneo. Kwa wakulima kuend...

Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini ,zimeendelea kusababisha neema na adha kwa baadhi ya maeneo.

Kwa wakulima kuendelea kunyesha mvua ni neema kwao, kwa kuwa kunawafanya waendelee kupanda mazao mbalimbali ya chakula na biashara.

Lakini kwa wafanyabiashara kama vile wamachinga ni janga kwao,kwa kuwa wateja wanakuwa hawaendi kwa namna ya kawaida, hivyo kipato kinapungua kwa wafanyabiashara hao.

Janga jingine ni kwa wajenzi hasa wanaojenga katika maeneo ya wazi, mfano lahisi ni wajenzi wa barabara kama picha hizo ,zinazoonyesha mkwamo wa ujenzi wa bomba la kutiririsha uchafu katika barabara ya Azikiwe jijini Dar es salaam

Related

News 4946756938677922220

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item