Wanafunzi watakiwa kuzingatia masomo
Mbunge wa Kigamboni Dk Faustin Ndungulile amewataka wanafunzi washule mbalimbali kuzingatia masomo, kwani ni faida yao na Taifa kwa ujumla. ...

http://cmasele.blogspot.com/2017/04/wanafunzi-watakiwa-kuzingatia-masomo.html
Mbunge wa Kigamboni Dk Faustin Ndungulile amewataka wanafunzi washule mbalimbali kuzingatia masomo, kwani ni faida yao na Taifa kwa ujumla.
Mbunge huyo alitoa wito huo jana kati viwanja vya ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Kigamboni wakati alipokuwa akitoa tuzo mbalimbali kwa wanafunzi na shule zilizofanya vizuri katika Elimu.
"Mimi nimesoma katika shule hizihzi nimesoma katika shule ya msingi Ufukoni, leo hii ni mbunge wa jimbo hili, kumbe hata nyinyi mnaweza kuwa viongozi wa Taifa hili hapo baadae , cha msingi ni kufanya bidii katika masomo yenu " alisema dk Ndungulile.