Rais aonya
Rais John Pombe Magufuli ametoa onyo kwa wale watakaojaribu kuvunja muungano. Mh Rais Dk Magufuli ametoa onyo hilo wakati wa sherehe za maa...

http://cmasele.blogspot.com/2017/04/rais-aonya.html
Rais John Pombe Magufuli ametoa onyo kwa wale watakaojaribu kuvunja muungano.
Mh Rais Dk Magufuli ametoa onyo hilo wakati wa sherehe za maathimisho ya kutimiaza miaka 53 za muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambazo zimefanyika leo katika uwanja wa jamhuri katika manisipaa ya Dodoma.
"Kulinda muungano ni kazi kubwa lakini mimi na Dk Shein tutaulinda kwa gharama zote" alisema Mh Rais Magufuli
Vilevile aliwakumbusha wananchi kuwa nchi nyingine zilizofanya muungano zilishindwa hivyo ni muhimu kwa wanachi wote kuulinda kwani unamanufaa makubwa.