TFDA yapiga marufuku uuzaji vipodozi mitandaaoni
Mamraka ya chakula na dawa Tanzania TFDA imepiga marufuku uuzaji wa vipodozi na virutubisho mitandaoni Narufuku hiyo inatokana na utafiti u...

http://cmasele.blogspot.com/2017/01/tfda-yapiga-marufuku-uuzaji-vipodozi.html
Mamraka ya chakula na dawa Tanzania TFDA imepiga marufuku uuzaji wa vipodozi na virutubisho mitandaoni
Narufuku hiyo inatokana na utafiti uliofanywa na Mamraka hiyo kubaini kuwa asilimia 30 ya wanawake wanaotumia vipodozi hivyo vina kemikali inayoweza kusababisha kansa na magonjwa mengine.
Hayo yamesemwa na kaimu meneja wa mawasiliano na mahusiano kwa ummawa mamlaka hiyo Bw James Ndege hivi karibuni alipokuwa akiongea na vyombo vya habari.
Bwa Ndege alisema kuwa sheria chakula na dawa,sura219 inakataza matangazo ya biashara ya chakula vile vilivyo chini ya TFDA kufanywa kwa njia vyombo vya hahari ikiwemo mitandao ya kijamii ni lazima kuwe na kibali maalumu kutoka mamraka hiyo.
Bw Ndege alisema kuwa baadhi ya wafanya biashara wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kutangaza vipodozi mbalimbali aliwataka waache mara moja kwa kuwa TFDAkwa kushirikiana na serikali wamejipanga kuzibiti hali hiyo,aliwataka pia wananchi kuwa makini na wauzaji wa vipodozi na virutubisho mbali mbali.