Waziri Ummy akemea
Waziri wa Afya maendeleo ya jamii,jinsia wazee na watoto Ummy Mwalimu amekemea tabia ya baadhi ya Hospital,pamoja na vituo vya afya kutokuch...

http://cmasele.blogspot.com/2016/12/waziri-ummy-akemea.html
Waziri wa Afya maendeleo ya jamii,jinsia wazee na watoto Ummy Mwalimu amekemea tabia ya baadhi ya Hospital,pamoja na vituo vya afya kutokuchanganya wagonjwa wa magonjwa tofautitofauti.
Kauli hiyo ameitoa hivi karibuni baada ya kuwepo taarifa kuwa baadhi ya taasisi hizo zimekuwa zikichanganya wagonjwa wa kawaida na kipindu pindu kitu ambacho nihatari kwa maisha ya wagonjwa wengine wenye magonjwa yasiyoambukiza.
Mh waziri Mwalim
u ametishia kuwachukulia hatua za kinidhamu wale wote wanaofanya hivyo kwa kisingizio cha kukwepa lawama za kuonekana kuwa wanazembea kupambana na kipindu pindu katika maeneo yao.