Kumuita Rais mfalume au mkoloni ni makosa
Inasikitisha sana kuona mwandishi mwenye kuheshimu Taifa lake anakosa sitaha na kumpachika Rais wa Taifa lake kuwa ni mfalume au mkoloni huk...

http://cmasele.blogspot.com/2016/12/kumuita-rais-mfalume-au-mkoloni-ni.html
Inasikitisha sana kuona mwandishi mwenye kuheshimu Taifa lake anakosa sitaha na kumpachika Rais wa Taifa lake kuwa ni mfalume au mkoloni huku akijua sio kweli.
Ninayasema haya kwa sababu mwandishi mmoja wa gazeti la kila wiki ambalo mmiliki wake ni rafiki yangu ameandika makala ambayo ni ya kumfethehesha Rais wetu Jhn Pombe Magufuli kuwa anahulka za kifalme na kikoloni,kwa maoni yangu ni makosa makubwa kwetu wanachi tuliomchagua na tunaamiini kuwa anatekeleza wajibu wake vizuri.
Anachokifanya mh Rais sio ufalme au ukoloni bali ni kutoa maelekezo kwa walio chini yake,na kuwaadhibu kichwa ngumu, inavyoonyesha mwandishi alikuwa amezoea kupelekwa semina ya Ngrudoto,kwamba bila semina watu inamaana hawajui wajibu wao,hayo yamepita kila mtu achape kazi asiyejua cha kufanya aachie kibarua,wapo Watanzania wengi watashika nafasi yake.
Mwandishi anataka kuturudisha enzi ya tume zisizoisha,kwamba kiongozi anakosea inaundwa tume ili watu wapate posho mwisho wa tumehakuna cha maana,,wananchi walichoshwa na hali hiyo ndio maana wakahitaji Rais ambae haendekezi ujinga ujinga,Rais Magufuli anatekereza alichowaahidi Watanzania inasikitisha badala ya kumuunga mkono,mwandishi huyo anamponda,nadhani nia ya mwandishi ni kumuondoshaRais Magufuli katika mikakati yake ya kupambana kundi la wala rushwa.
Nijuzi tu kabla ya uchaguzi mkuu wa Taifa mwaka jana kulikuwa na watu wanaitwa vigogo kwamba hata wakikosea au kulihujumu Taifa walikuwa hawaguswi,kwa Rais Magufuri thubutu yao,anawang'oa kweupee ,kwa Magufuli wanakamatwa,utendaji kazi wa Rais ni wakishujaa,na wala haimaanishi kuwa Marais waliopita hawakufanya kazi bali kila mtu na kalama zake za kiutendaji.
Mimi sio msemaji wa Rais tunapomsema tuwe na sitaha sihivyo tu sidhani kama mh Rais hataki kukosolewa,hivi kwa mfano unamkosoa Baba yako yalie kuzaa kwa kumvurumishia mineno ya hovyo hata yasiyo wiana nae ndio Uafrika wetu umefika huko?mimi nasema hapana tutunze heshima ya kiongozi wa Taifa letu , hata huko Magharibi hawako hivyo.
Naomba nichukue mfano mdogo hivi juzi mh Rais amewaelekeza wakuu wa mikoa na Wilaya kuhusu wamachingi wanachotakiwa kuwatendea ,kitu ambacho walitakiwa wakifanye kwa akili zao,Rais ametolea mfano wa jinsi walivyofanyiwa wamachinga Kigamboni,hivi viongozi wa Kigamboni walienda Ikulu kupata ushauri kuhusu namna ya kuwatendea wamachinga?.
Mh Rais sio kwamba anataka chinga wazagae hovyo,bali anataka watengewe maeneo hili nalo mpaka watu wapelekwe semina wakajifunze? mfano wakiwajengea vibanda sehemu maaluum hata serikali itapata kodi,au mwadishi alizoea kuona chinga wakifukuzwa kama swala porini?,hawa ni wananchi wenzetu waheshimiwe,kwangu mimi nasubiri kuona wakuu wa mikoa na wilaya kuona namna wanavyo tekeleza maelekezo ya mh Rais Magufuli au kama watanyamaza sisi tutajua wanamsusia tuvute subira tuone.
Mh Rais asiyumbishwe aungwe mkono aendelee kuwashughurikia walioigeuza nchi shamba la bibi yao,kuna msemo kuwa "ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni",kwa Rais Magufuli hakua mambo hayo
anaua nyani huku akiwakazia macho,asante mhe Rais endelea kuchapa kazi wanachi wengi wapo upande wako.