Pin It

Waziri apingwa

Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Mafunzi Profesa Joyce Ndalichamepingwa na wananchi kutoka sehemu mbalimbali nchini kutokana na tamko a...

Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Mafunzi Profesa Joyce Ndalichamepingwa na wananchi kutoka sehemu mbalimbali nchini kutokana na tamko arilolitoa hivi karibuni la kutaka kuzuia wanafunzi wenye diploma kujiunga na Elimu ya chuo kikuu

Waziri huyo,hivi karibuni alikaririwa na vyombo vya habari akitoa tamko la kukusudia kuzuia wanafunzi wa ngazi ya diploma wasidahiriwe na kujiunga na vyuo vikuu na kuwa watakao ruhusiwa ni wale waliofauru kidato cha sita tu.

Michaeli lyakiyee mkaazi wa Mbagala alipoongea na mwandishi wa habari hii alionyesha masikitiko makubwa kwa waziri Ndalichako kwa maelezo kuwa waziri huyo inabidi afuatiliwe nyendo zake katika wizara hiyo yawezekana akawa na lengo baya.

"Mungai(aliwahi kuwa waziri wa Elimu wakati wa Mkapa),alianza hivi hivi hivi kuibomoa elimu hivyo huyu N
dalichako inabidi apingwe mapema kabisa kabla hajatuvurugia Elimu yetu.alisema bw Lyakiyee.

Nae Masudi Mwakalile alimuomba Rais Dk Magufuli amuondoshe mapema Profesa Joyce Ndalichako kabla hajaivuru Elimu ya watoto wetu na watu wazima pia

Related

Siasa 1577938750473997966

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item