Wanafunzi wa chuo cha kodi waandamana
Wanachuo wa chuo cha kodi Dar es salaam leo wameandamana hadi katika lango la ITV waikiitaka serikari kuwapatia mkopo wanachuo wote wa mwaka...

http://cmasele.blogspot.com/2016/11/wanafunzi-wa-chuo-cha-kodi-waandamana.html
Wanachuo wa chuo cha kodi Dar es salaam leo wameandamana hadi katika lango la ITV waikiitaka serikari kuwapatia mkopo wanachuo wote wa mwaka wa kwanza kwa kuwa wamekuwa wakiishi kwa maisha ya shida.
Mmoja wa viongozi wa wanachuo hao aliyejitambulisha kuwa ni waziri mkuu wa serikari wanafunzi Bw Mushi ambae amesema yuko mwaka wa pili chuoni hapo amesema wanasikitishwa kuona wenzao wakiteseka chuoni hapo, kwa kukosa huduma mbalimbali.
Bw Mushi amesema wenzao hao wanavyo vigezo vya kuweza kupatiwa mkopo lakini wanashangaa kuona wananyimwa,amesema wameeda bodi ya mikopo matokeo yake wameambiwa wakate rufaa
"Tunaiomba sana serikali iwasaidie wenzetu waondokane na mateso haya ikumbukwe kuwa viongozi wengi walio serikalini wamesomeshwa na serikali bure hawakuchangia chochote vipi leo wawanyime hawa wenzetu watoto wa masikini mikopo? aliomba na kuhoji Bw Mushi.