Pin It

KIJANA NA CHANGAMOTO YA HALI HALISI YA MAISHA

Vijana wa leo tuna changamoto nzito sana juu ya kukabilina na hali halisi ya maisha (si maisha feki).  * kijana kama hujasoma na huna ujuzi ...

Vijana wa leo tuna changamoto nzito sana juu ya kukabilina na hali halisi ya maisha (si maisha feki). 
* kijana kama hujasoma na huna ujuzi wowote kukabili maisha ni ngumu
* kijana kama umesoma kupata kazi ni ngumu na hata kujiajili mwenyewe kwahitaji mtaji nawe huna hufanyi kazi
* kijana kama ni msichana/mwanamke na umesoma, changamoto katika upataji wa kazi ni rushwa ya ngono
* kijana kama ni mvulana/mwanaume na umesoma, changamoto katika upataji wa kazi....maana ajira zimeshikiliwa na wenye nchi wakongwe wasiotaka kuachia madaraka wala kustaafu
* kijana mwenye maono ya maendeleo changamoto ni mtaji la sivyo maono yako uyauze kwa wenye pesa
*N. K.

Hayo ni machache tu. mengi ukisikia juu ya vijana wa leo utadondosha machozi. hebu fikiria, majambazi, machangudoa, vibaka wa pale na pale, wavuta unga na bangi, machizi na wengine wengi wametokana na nini? chanzo kikubwa ni nini? Tunasisitizwa tusome na tumesoma but hakuna ajira halali, tunasisitizwa tujiajiri hatuna mtaji, na hata ili uajiriwe wanataka mwenye ujuzi usiopungua miaka kuanzia 5. unadhani uzoefu tutaupataje endapo hatuajiliwi? na tutajiajili vipi kama hatuna pesa za kuanzia biashara na wazazi wetu ndo hivyo tena?


Related

Siasa 912742186666140096

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item